
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo 19 Mei, 2022.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo.





Sehemu ya Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

kikundi cha burudani cha kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma kikitumbuiza katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...