RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Tuzo ya Muigizaji wa Filamu ya Tanzania Royal Tour na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Utamaduni na Filamu Zanzibar (BASFU) Dkt. Omar Abdalla na (kulia kwa Rais)Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.Dkt.Kiagho Kilonzo.(Picha na Ikulu).  
 
RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali 
Mwinyi akifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour baada ya kuizindua 
katika ukumbi wa Hoteli ya Goldeg Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki 
Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa 
Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.( 
  
 
MKE
 wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Uzinduzi wa Filamu 
ya Tanzania Royal Tour.(kulia kwake)Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi
 Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi 
wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 
7-5-2022, iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. 
  
 
WAGENI
 waalikwa na Wananchi wa Zanzibar wakifuatilia Filamu ya Tanzania Royal 
Tour,iliyozinduliwa leo 7-5-2022 Zanzibar na Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika 
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja 
Jijini Zanzibar. 
  
 
MKE
 wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Naibu Spika wa 
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Katibu wa 
Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na 
wakiwa na Wake wa Viongozi wakifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour, 
iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Hoteli ya 
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar  
 
RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali 
Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal 
Tour, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa 
Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar  
Home
HABARI
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR LEO ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


 

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...