Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwafupe, akieleza kwa Madiwani wa Busokelo, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, kuhusu namna Halmashauri ya jiji la Dodoma ilivyojenga eneo la michezo la Chinangali, wakati walipotembelea eneo hilo jijini Dodoma.
Mkadiriaji Majenzi wa kampuni ya Mohamedi Builders, Ivo Matee, akieleza namna soko la Machinga lilivyojengwa jijini Dodoma kwa Madiwani wa Busokelo, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya wakati walipotembelea reli hiyo jijini Dodoma.
Mhandisi Oliva Kilyenyi, akifafanua kwa Viongozi Madiwani wa Busokelo, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, kuhusu miundombinu ya reli ya Kisasa ya SGR eneo la Ihumwa, wakati walipotembelea reli hiyo jijini Dodoma.

Mhandisi kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC), Isaya Samweli, akifafanua kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Madiwani wa Busokelo, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya kuhusu miundombinu ya reli katika stesheni ya Dodoma, wakati walipotembelea reli hiyo jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...