Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mkoanj Tanga ametoa wito Kwa madereva wageni wanaoenda Lushoto kuwa makini ili kuepusha ajali zinazoweza kutokea.

Mkuu wa Wilaya huyo ametoa wito huo kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu watano na wengine tisa kujeruhiwa vilivyotokea katika Kijiji Cha Umba Wilayani humo .

Lazaro amesema ajali hiyo ilioua ilisabaishwa na gari dogo aina ya Coaster yenye namba za usajili T725 DWY Mali ya Agatha Masawe Mkazi wa Dar es Salaam iliyokuwa ikitokea Umba kuelekea Dar Es Salaam baada ya kupeleke msiba Kijijini hapo.

Lazaro ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani humo alithibitisha kutokea Kwa tukio hilo June 10 majira ya 12.30 asubuhi huko katika Kijiji Cha Mbaramo Tarafa ya Umba Wilayani humo.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema gari hiyo Toyota Coaster Mali ya Agatha Masawe ilikuwa ikiendeshwa dereva ambaye jina lake halikufahamika baada ya kumbia ilikuwa inarejea Dar Es Salaam baada ya kutoka Mbaramo kupeleka Msiba manamo tarehe tisa.

Alitaja majina ya marehemu waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni Sebastian Kamwedi (35), Msambaa Godfrey Martin (70) ,Jackline Shemela (37), Emanuel Philipo mtoto wa miezi miwili na Elly Gumbo

Pia ametaja majeruhi wanaopatiwa matibabu katika Kituo Cha Afya Mnazi kuwa ni Upendo Mzule ( 25), Paulo Kusaga (43) Msambaa Mkazi wa kibaha na 3.Emanuel Mshele (39)Msambaa Mkazi wa Dar Es Salaam huku majeruhi wengine sita wenye hali mbaya wamekimbizwa katika hospital ya rufaa Bombo ,Miili ya marehemu imehifadhiwa Kituo Cha afya Mna

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...