Na John Walter-Babati
Shirika la umeme Tanzania katika mkoa wa Manyara limeendelea kuwaunganishia umeme wateja wake kidijitali kupitia huduma mpya ya NIKONEKT.

Ikumbukwe kwa mkoa wa Manyara huduma ya NIKONEKT ilizinduliwa rasmi siku Mei 30 huku lengo likiwa ni kurahisisha huduma kwa wananchi.

Afisa uhusiano na wateja kutoka shirika la umeme Tanzania katika mkoa wa Manyara Marcia Simfukwe amesema huduma ya hiyo ni rahisi na rafiki kwa wateja wao kwani mteja ataweza kutuma maombi ya maunganisho Mapya bila kufika ofisi za TANESCO.Huduma hiyo inapatikana kupitia simu ya mkononi kwa njia ya kupakuwa app ya NIKONEKT au kwa kubonyeza *152*00# na kwenye website yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...