MCHEZO wa golf maarufu kama DIPLOMATIC GOLF TOURNAMENT unatarajiwa kufanyika kwa mara ya nne kuanzia tarehe 24 na 25 Septemba katika viwanja vya Kiligolf vilivyopo USA RIVER jijini Arusha Tanzania.
Mchezo huu wa Diplomatic Golf unaandaliwa na taasisi binafsi
ya Songea Mississippi Foundation(SOMI) kwa kushirikiana na Kiligolf kwa lengo la kusaidia watoto wenye mazingira
magumu songea.
Diplomatic golf 2022 utahusisha wachezaji wa golf kutoka
ndani na nje ya nchi lengo likiwa ni kutengeneza mahusiano na connection baina
ya wachezaji na watazamaji.
Mwaka huu tunatarajia kuwa na wachezaji zaidi ya 200 ambapo
kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo:
Tarehe 24 September - 18 holes (Mashimo 18)
●
20usd
sawa na 45,000/=Tzs kwa mchezaji mmoja
● 100usd sawa na 230,000/=Tzs kwa kundi la wachezaji wanne
Kwa Wachezaji watakaotaka kucheza siku zote mbili kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo:
Tarehe 24 na 25 Septemba - 36 holes (Mashimo 36)
●
30usd
sawa na 70,000/= kwa mchezaji mmoja
● 200usd sawa na 460,000/= kwa kundi la wachezaji wanne
Kwa kupitia
lengo la mchezo huu tunawaalika wachezaji wote wa Golf kushiriki mchezo huu.
Pia nafasi
za udhamini ziko wazi tunawalika wadhamini waje kushirikiana nasi kufanikisha
hii event huku tukitoa tabasamu kwa watoto wanaohitaji.
Kwa mawasiliano zaidi 0719353633 Waandaaji
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...