Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano,  katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia  Agosti 28, 2022. Kampuni ya  AFRECO  ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano, katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia  Agosti 28, 2022. Kampuni ya  AFRECO  ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...