


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo leo tarehe 12 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma maelezo ya Spika kwa niaba ya Spika Dkt. Tulia Ackson wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo leo tarehe 12 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akishiriki kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo leo tarehe 12 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo leo tarehe 12 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mhe. Joseph Mhagama, Mhe. Najma Giga na Mhe. David Kihenzile

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo leo tarehe 12 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...