Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, akitoa mada kuhusu fursa za uwekezaji zinavyochochea mabadiliko ya kiuchumi katika jamii kwenye Wiki ya Chuo Kikuu Tumaini (TUDARCO) iliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 10, 2022 na kuwakutanisha wanafunzi, walimu na wahitimu wa chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Mwandamizi Dk. Abdiel Abayo, akizungumza kwenye Wiki ya Chuo Kikuu Tumaini (TUDARCO) iliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 10, 2022 na kuwakutanisha wanafunzi, walimu na wahitimu wa chuo hicho.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, kuhusu fursa za uwekezaji zinavyochochea mabadiliko ya kiuchumi katika jamii.
Watoa mada katika Wiki ya Chuo Kikuu Tumaini (TUDARCO). Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi, Beng'i Issa, Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala na Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...