Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda  Zanzibar  Mhe. Omar Said Shaaban akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusiana na  warsha ya 26 ya utafiti na Sera itakayofanyika Novemba 2-3 katika hoteli ya Golden tulip, iliyoandaliwa na REPOA wakishirikiana na Benki ya CRDB,hafla hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hotel hiyo iliyopo Uwanja wa ndege Zanzibar. FAUZIA MUSSA MAELEZO ZANZIBAR 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...