Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba (wa tatu kulia), akipeperusha bendera na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe (wa tatu kushoto) kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya Umebima kwa Kanda ya Dar es Salaam.
Uzinduzi huo umefanyika katika eneo la Stendi ya Simu 2000 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa Biashara Manispaa ya Ubungo, Geofrey Mbwana, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Aikansia Muro (wa pili kushoto), Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis, Ian Meena (kulia) na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard (wa pili kulia).
Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Umebima wilaya UbungoMkuu wa Idara ya Idara ya Bima ya NMB, Martin Massawe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Umebima wilaya ya Ubungo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...