Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa hatua ya iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songwe  ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. Kulia kwake ni Mkuu wa  Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa maabara ya hospitali ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...