
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara TCB Bank Bw. Deogratius Kwiyukwa akizungumza wakati wa kikao cha Wakurugenzi wa sekta mbalimbali ndani ya Tanzania Commercial Bank PLC wamefanya kikao cha mpango mkakakati wakishirikiana na Mameneja wa Matawi nchi nzima kwa ajili ya kujadili malengo ya kuhakikisha kuwa TCB inabakia kileleni Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, jijini Dodoma hivi karibuni



Wakurugenzi wa TCB wakiwa katika kikao hicho
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...