Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zubeir Mbwana katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Taasisi ya Usaidizi na Uhusiano wa Kibiashara (JIBA) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Machi 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
HABARI
MAJALIWA ATETA NA MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA KATIKA HAFLA YA TAASISI YA JIBA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...