Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza  kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni  Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji  George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa (Mst). Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza  kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni  Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji  George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (kulia) akijadili jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji  George Kazi wakati wa kikao cha pamoja baina ya NEC na ZEC kilichokutana leo Disemba 13,2023  kisiwani Zanzibar.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wakiwa katika kikao hicho leo Disemba 13,2023 mjini Zanzibar. 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza  kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni  Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji  George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa (Mst). Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...