LEO inakwenda kupigwa michezo kadhaa ya ligi kuu nchini Hispania katika viwanja tofauti tofauti, Huku wewe mteja wa Meridianbet ukiwa na fursa ya kupiga mkwanja wa kutosha na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

Katika kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha Meridianbet hawajabadili utaratibu wao wa kuhakikisha wanatoa Odds nzuri katika michezo ambayo inakua kwenye tovuti, Ndivyo walivyofanya pia katika michezo ambayo inakwenda kupigwa usiku wa leo katika ligi kuu nchini Hispania.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watashuka dimbani wakiwa ugenini kukipiga na klabu ya Las Palmas, Huku wakitafuta nafasi ya kwenda nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo baada ya Atletico Madrid kupoteza katika mchezo wa jana dhidi ya Girona.

Kipute kingine kikali kitapigwa pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan ambapo klabu ya Sevilla itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Athletic Club moja ya vilabu vinavyofanya vizuri katika ligi hiyo msimu huu, Sevilla wao wametoka mchezo wao wa mwisho ambapo leo watahitaji kushinda ili kujikwmaua kutoka kwenye nafasi za chini.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Osasuna ambao watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Almeria, Klabu ya Almeria mpaka sasa wanashika mkia katika ligi kuu nchini Hispania wakiwa na alama tano hivo kushinda mchezo huu inaweza kuwapa nguvu ya kutaka katika mkiani kwenye ligi hiyo.

Ukiachana na ligi kuu nchini Hispania La Liga lakini leo pia kutakua na michezo mingine ambayo itapigwa na inaweza kuwapa watu mikwnaja na kuanza vizuri mwaka, Ambapo Juventus watashuka dimbani leo katika mchezo wa Coppa Italia kukipiga dhidi Salernitana, Huku Crystal Palace wakikipiga dhidi ya Everton katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkeka wako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...