WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akipata maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Tulia Pamunda Island, inayojengwa katika Kisiwa cha Pamunda Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoka kwa Meneja Msimamizi wa Mradi huo Ndg. Sasu Levokatus (kulia kwa Waziri) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Waziri ) Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg.Sharif Ali Sharif.(Picha na Ikulu)
 

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali akipata maelezo ya michoro ya ijenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Tulia Pamunda Island inayojengwa katika Kisiwa cha Pamunda Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoka kwa Meneja Msimamizi wa Mradi huo Ndg Sasu Levokatus, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...