NI Jumamosi nzuri kabisa ya kuondoka na sehemu ya Bilioni 1.5 kwenye mashindano mapya ya Lucky Rush ambayo yatarajiwa kudumu kwa siku 38 pekee. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na uanze kushindana sasa nafasi ni yako leo.
Promosheni ya LUCKY RUSH imeanza ikiwa na zawadi zenye thamani ya Bilioni 1.5 TZS na ipo kwaajili ya kukufanya kuwa Milionea kwa haraka zaidi kwani kupata huo mgao wa pesa hiyo ni rahisi sana endapo utafuata masharti.
Mashindano haya ya kipekee yameandaliwa kwa lengo la kuwanufaisha wateja wa Meridianbet ambao bado wana ndoto kubwa kabisa ya kujishindia zaidi ya Mamilioni kupitia Kampuni kubwa kabisa ya Ubashiri Meridianbet. Kwa kushiriki tu, washiriki wanapata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali kila wiki, huku droo kubwa ya mwisho ikiweka mezani zawadi ya kuvutia
Vilevile Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Hii ni nafasi pekee kwa wateja wa Meridianbet kwani wanaweza kubadilisha maisha yao ndani ya siku moja tuuh kupitia promosheni hii ya LUCKY RUSH. Jiunge na mashindano matano yenye msisimko mkubwa, kila moja likiwa na mfuko wa zawadi wa shilingi milioni 300 na zawadi kwa wachezaji 5000 kila mzunguko.
SHERIA ZA WACHEZAJI
1: Wachezaji wanapaswa kujisajili kwa kila learderboard ( Jedwali la nafasi za juu zaidi) hakuna ushiriki wa moja kwa moja
2: Hakuna dau la chini linalohitajika kujiunga, hivyo kiasi chochote unaweza kuweka na kuanza kushiriki kwenye promo hii ya LUCKY RUSH
3: Wachezaji hupata pointi kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau kwa kila mzunguko
4: Mzunguko hadi wa 5000, kwa kila leaderboard zitahesabiwa
5: Ni mizunguko 25 bora tuu ikayaohesabiwa katika alama ya mwisho
6: Mchezaji ambaye ataondoka kisha akarudi kwenye leaderboard atapoteza pointi zote
7: Orodha ya viongozi (leaderboard) itapatikana takribani dakika 15 baada ya kumalizika kwa leaderboard.
8: Endapo wateja watapa pointi sawa kipaumbele atapewa mchezaji ambaye ana mziunguko zaidi iliyobaki, lakini pia mchezaji ambaye alipata pointi mapema zaidi.
Michezo ambayo inashiriki kwenye promosheni hii ya LUCKY RUSH ni pamoja na
● Age of the Gods: Cash Collect, King of Olympus, God of Storms
● Fire Blaze: Pharaoh’s Daughter, Blue Wizard
● Breaking Bad: Cash Collect
● Lucky Bass: Mega Cash Collect
● Mega Fire Blaze: Wild Pistolero
● Piggies and the Bank : Cash Collect & Link
SHERIA NA MASHARTI YA JUMLA
● Promosheni hii inaendeshwa na Playtech
● Muda wa promosheni ni kuanzia tarehe 27 Juni mpaka 03 Agosti
● Promosheni inajumuisha mashindano matano ya mtandao wa leaderboard yaliyopangwa kama yalivyoanishwa
● Malipo ya leaderboard yatakuwa kama ifuatavyo
Leaderboard Mfuko wa zawadi Idadi ya washindi
1 300,000,000TZS 5000
2 300,000,000TZS 5000
3 300,000,000TZS 5000
4 300,000,000TZS 5000
5 300,000,000TZS 5000
● Wachezaji watakaoshiriki watastahili kupata kiasi cha pesa taslimu kama ilivyoainishwa kwenye jedwali la zawadi kwa kila leaderboard
● Ushindi wote kutoka kwenye promosheni hii hauna masharti ya kubeti na unaweza kutolewa hapo hapo mara tuu utakapowekwa
Hivyo mchezaji changamkia fursa hii sasa ndani ya Meridianbet kwani LUCKY RUSH imekuja kama mkombozi wako usipoteze fursa hii ya kibabe . Jiunge na uanze kucheza hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...