WATOTO wawili wa miaka 4 na 2 wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza nyumba waliyokuwa wakiishi katika Mtaa wa Katanini, Kata ya Katanini, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza nyumbani hapo, Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomaji amesema watoto hao kuwa ni Jerial Shayo (4) na Leoni Shayo (2) watoto wa wakili wa kujitegemea, Caessar Shayo.
" Watoto waliopoteza maisha ni Jerial Shayo(4) na Leoni Shayo (2) pia kulikuwa na majeruhi baba na mama wa watoto hao na kwa sasa wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Kanda ya kaskazini KCMC,"aAlisema Kaimu Kamanda Zimamoto.
Kamanda Jeremiah amesema tukio hilo limetokea leo majira ya saa nne asubuhi, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, watoto hao walifariki dunia muda mfupi baada ya kupewa uji na dada wa kazi.

.jpeg)

.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...