Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kulia) akipiga makofi pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wapili kushoto),Kamishna Jenerali wa Uhamiaji.Dkt.Anna Makakala(wakwanza kulia) na wakwanza kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan, wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari,wilayani Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Naibu Kamishna wa Uhamiaji,Tatu Burhani kabla ya uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari,wilaya ya Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Watatu kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene na wakwanza kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, watano kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene,watatu kulia ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais(SMZ),Hamza Hassan Juma na wanne kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala.Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wakwanza kushoto) na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala(watatu kushoto), baada ya kutembelea Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...