Home
Unlabelled
day wani...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hata huku ulifika. Hatukuwezi Shehe wewe matata kwelikweli
ReplyDeletehongera zake iddi...japokuwa hatuna maelezo sana juu ya alivokuwa akibahatisha kuibuka na visenti lakini tunafurahi kuwa amesaidia vijana wanaojitutumua kutafuta maisha...tunahitaji kupendana tu na wale tuliozificha viwanja tutazishusha tu zizungukie bongo!
ReplyDeleteMichuzi ndoa ulifungisha wewe nini. Isje ikawa wewe ni shehe lakini hatujui.
ReplyDeleteMichuzi michuzi michuzi!!!
ReplyDeleteKwenye faragha ya watu uliingiaje???mtu ameshaanza kumvua mwenza viatu,wewe upo tu!!!!
Hala hala bro.
Ndesanjo yaani bado hiki naona kama kitimtim, kwenye nyumba ya Mola shetani kaingiaje. Hiyo kamera iliegeshwa au ndio mambo ya kupiga deo! Michuzi hapa hakuna ukimya twambie ukweli.
ReplyDeleteAisei Michuzi, yaani uliingia mpaka Bridal Suite! Duh!
ReplyDeleteHongera halafu naona Women's Lib ina pamba moto Bongo, maana mwanaume anamvua mwanamke viatu!
chemi hujaacha tu hizo w.lib! una balaa. waja lini tembea huku. njoo utafikia kwangu.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteAsante sana kwa mwaliko. ACCEPTED!
Umefuatilia habari ya ile sinema ya M-Net niliyokuambia?
Iddi mpira utachezeka hapo kweli?
ReplyDeleteMzee Iddi akiwa mbioni kushusha jezi tayari kwa kumega babu upitage na gym maana naona unazidi kutanuka sasa bado said
ReplyDeletemzaramo na mmmanga utafikiri mfrancophone na mfaransa.
ReplyDeleteDaima mwanzo huwa mzuri.
ReplyDeleteJanguo kaoa Muhindi au Mwarabu?... mkewe anapendeza
ReplyDeletekaoa mwafrika kwani mwarabu au mzungu ndo anapendeza tu?
ReplyDeletekama kaoa muhindi ama mwarabu wewe inakuhusu niniiii?????????
ReplyDelete