Bwa harusi Iddi Athumani Janguo na mkewe wakiwa ndani mwao siku ya kwanza baada ya kuoana wiki iliyopita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Michuzi hata huku ulifika. Hatukuwezi Shehe wewe matata kwelikweli

    ReplyDelete
  2. hongera zake iddi...japokuwa hatuna maelezo sana juu ya alivokuwa akibahatisha kuibuka na visenti lakini tunafurahi kuwa amesaidia vijana wanaojitutumua kutafuta maisha...tunahitaji kupendana tu na wale tuliozificha viwanja tutazishusha tu zizungukie bongo!

    ReplyDelete
  3. Michuzi ndoa ulifungisha wewe nini. Isje ikawa wewe ni shehe lakini hatujui.

    ReplyDelete
  4. Michuzi michuzi michuzi!!!
    Kwenye faragha ya watu uliingiaje???mtu ameshaanza kumvua mwenza viatu,wewe upo tu!!!!
    Hala hala bro.

    ReplyDelete
  5. Ndesanjo yaani bado hiki naona kama kitimtim, kwenye nyumba ya Mola shetani kaingiaje. Hiyo kamera iliegeshwa au ndio mambo ya kupiga deo! Michuzi hapa hakuna ukimya twambie ukweli.

    ReplyDelete
  6. Aisei Michuzi, yaani uliingia mpaka Bridal Suite! Duh!

    Hongera halafu naona Women's Lib ina pamba moto Bongo, maana mwanaume anamvua mwanamke viatu!

    ReplyDelete
  7. chemi hujaacha tu hizo w.lib! una balaa. waja lini tembea huku. njoo utafikia kwangu.

    ReplyDelete
  8. Michuzi,

    Asante sana kwa mwaliko. ACCEPTED!
    Umefuatilia habari ya ile sinema ya M-Net niliyokuambia?

    ReplyDelete
  9. Iddi mpira utachezeka hapo kweli?

    ReplyDelete
  10. Mzee Iddi akiwa mbioni kushusha jezi tayari kwa kumega babu upitage na gym maana naona unazidi kutanuka sasa bado said

    ReplyDelete
  11. mzaramo na mmmanga utafikiri mfrancophone na mfaransa.

    ReplyDelete
  12. Janguo kaoa Muhindi au Mwarabu?... mkewe anapendeza

    ReplyDelete
  13. kaoa mwafrika kwani mwarabu au mzungu ndo anapendeza tu?

    ReplyDelete
  14. kama kaoa muhindi ama mwarabu wewe inakuhusu niniiii?????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...