Home
Unlabelled
Ruge and Kusaga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhani kabla ya kukimbilia kufungua TV lingekuwa jambo jema kama wangeanza kusikika kwenye mtandao kwa japo kuwa na tovuti!
ReplyDeleteSifa zipi brother michuzi ni kweli wamefungua redio je inasikika kwetu nangurukuru au ndo mwendo wa masafa ya kibaha na mbagala kibulugwa
ReplyDeleteHivi mawimbi yatashika kimanzichana?
ReplyDeletekuna wakati walianza kwa spidi www.cloudsfm.com halafu wakapotea sijui walienda wapi! - bwana michuzi, wachapie jaramba warudishe radio tovutini!
ReplyDeleteKuna baadhi ya watangazaji wa clouds wanakiuka ethics za uandishi waziwazi,hili michuzi hujaligundua!!!!!!
ReplyDeleteWakitulia na kuacha mapepe ya kujifanya watoto wa mjini kwasana wanaweza kufanya kitu kikahesabika katika jamii kama anavyofanya mmoja wao DR sebastian ndege.
vijana woote ambao hamjaoa, kwa niaba yetu wengine hebu piteni pale kwa kasri langu mjisagulie watoto wa kihabeshi muoe!! hii itakuwa ni kasi mpya!
ReplyDeleteMichuzi, this is really good. I like your style and contents. Keep up the good work.
ReplyDeletehaya ni malaya tu wa kiume kazi kula dada zetu
ReplyDeleteNi kweli Clouds FM 88.4 wapo juu,ila ingekuwa powa kama wangerekebisha frequecy zao ili tuwapate TZ wide sababu mkoa tunawapata kwa kubahatisha sana,otherwise warudishe 'live' KWA TOVUTI INGEKUWA WERE SANA...
ReplyDeleteBIGAP MICHUUUUUZI!
ebwana inakuwaje Clouds fm?
ReplyDeleteWatangazaji wa Clouds fm mpo juu sana, you are more proffesional!
naitwa MICHAEL KISOKA, wa
MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY. a.k.a MIST.
nachukua Computer Engineering!
Big up sana!!!