Hawa ndio vingunge wa redio Clouds Fm 88.4, Rugemarila Mutahaba (shoto) na Joseph Kusaga, kwa msiowafahamu. wanastahili sifa kwa kubadili hali ya hewa ya utangazaji wa redio na hivi karibuni wanazindua Clouds TV

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nadhani kabla ya kukimbilia kufungua TV lingekuwa jambo jema kama wangeanza kusikika kwenye mtandao kwa japo kuwa na tovuti!

    ReplyDelete
  2. Sifa zipi brother michuzi ni kweli wamefungua redio je inasikika kwetu nangurukuru au ndo mwendo wa masafa ya kibaha na mbagala kibulugwa

    ReplyDelete
  3. Hivi mawimbi yatashika kimanzichana?

    ReplyDelete
  4. kuna wakati walianza kwa spidi www.cloudsfm.com halafu wakapotea sijui walienda wapi! - bwana michuzi, wachapie jaramba warudishe radio tovutini!

    ReplyDelete
  5. Kuna baadhi ya watangazaji wa clouds wanakiuka ethics za uandishi waziwazi,hili michuzi hujaligundua!!!!!!

    Wakitulia na kuacha mapepe ya kujifanya watoto wa mjini kwasana wanaweza kufanya kitu kikahesabika katika jamii kama anavyofanya mmoja wao DR sebastian ndege.

    ReplyDelete
  6. vijana woote ambao hamjaoa, kwa niaba yetu wengine hebu piteni pale kwa kasri langu mjisagulie watoto wa kihabeshi muoe!! hii itakuwa ni kasi mpya!

    ReplyDelete
  7. Michuzi, this is really good. I like your style and contents. Keep up the good work.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2006

    haya ni malaya tu wa kiume kazi kula dada zetu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    Ni kweli Clouds FM 88.4 wapo juu,ila ingekuwa powa kama wangerekebisha frequecy zao ili tuwapate TZ wide sababu mkoa tunawapata kwa kubahatisha sana,otherwise warudishe 'live' KWA TOVUTI INGEKUWA WERE SANA...

    BIGAP MICHUUUUUZI!

    ReplyDelete
  10. ebwana inakuwaje Clouds fm?
    Watangazaji wa Clouds fm mpo juu sana, you are more proffesional!
    naitwa MICHAEL KISOKA, wa
    MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY. a.k.a MIST.
    nachukua Computer Engineering!
    Big up sana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...