Home
Unlabelled
boeing 737 la atcl
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio matatizo ya ndoa za mkeka haya. Ila nifafanulieni katika ndoa hii nani alikuwa bwana harusi na nani alikuwa bibi harusi. Maana ubongo wangu umeshindwa kuchambua-ga.
ReplyDeleteHii ndoa tangu mara ya kwanza ilikua haina matumaini yeyote ya kudumu.
ReplyDeleteKinachonifurahisha zaidi ni pale naposikia mzee JK amemtaka waziri wa miundo mbinu asimamie kedete uendeshwaji wa ATC ili ahakikishe haifilisiki wakati wadadisi wa mambo wanajua kua Waziri aliyepewa dhamana ya wizara hiyo ana hisa ndani ya Precission Air kwahiyo si rahisi kufanya jitihada za makusudu kuinusuru ATC kwani linaweza likatoa ushindani kwenye kampuni yenye maslahi yake!!!!!!
Tusubiri tuone ubinafsi na uzalendo upi utaelemea upande mwingine.
ninachosema fikra thabiti ni hiki! Raisi wa sasa wa Tanzania ana akili mnoooo!!! mara nyengine naamuaga kunyamaza tu! maana mbinu kama hiyo aliitumia Mandela kumpa uwaziri wa ndani Buthelezi. buthelezi kama kiongozi wa wazulu, akawajibika kuwabembeleza wazulu hadi leo hii wametawalika! si umeliona hata hili la polisi? maana yake hapo kampa paka maziwa ayalinde!
ReplyDelete