jk akipokewza na m7 entebbe jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JK hata madikteta anawasifia bwana.Kaja hapa na kumsifia Museveni.
    Waliongea juu ya Afrika Mashariki,sina hakika kama Museveni tutafika.

    ReplyDelete
  2. hawa vigogo wakiafrika wote matapeli tu. wenye uchungu na nchi kama kina nyerere hawapo tena.jamjuah

    ReplyDelete
  3. Michuzi, blogu yako ni kisima cha maarifa. jitahidi kuendelea kutuwekea vitu vinavyoamsha fikra na kukuza uzalendo...big up...

    kwa kweli Mu7 kama mu7 sina wasiwasi na ufanyaji wake wa kazi. kama kuna mtu anasema udikteta kwa ajili ya jaramba za kimrema mrema na sasa kilowassa lowassa huyo ni adui wa maendeleo...

    lakini pia kama udikteta wake unabakia kwenye kupenda kuendelea kuwa raisi, hapo hata mie nakubaliana. kwani hata kama vipi, ina maana hata kwenye hiko chama chake hakuna mtu aliyemlea vizuri kiuchapa kazi kuweza kumrithi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...