Home
Unlabelled
jk awasili uganda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK hata madikteta anawasifia bwana.Kaja hapa na kumsifia Museveni.
ReplyDeleteWaliongea juu ya Afrika Mashariki,sina hakika kama Museveni tutafika.
hawa vigogo wakiafrika wote matapeli tu. wenye uchungu na nchi kama kina nyerere hawapo tena.jamjuah
ReplyDeleteMichuzi, blogu yako ni kisima cha maarifa. jitahidi kuendelea kutuwekea vitu vinavyoamsha fikra na kukuza uzalendo...big up...
ReplyDeletekwa kweli Mu7 kama mu7 sina wasiwasi na ufanyaji wake wa kazi. kama kuna mtu anasema udikteta kwa ajili ya jaramba za kimrema mrema na sasa kilowassa lowassa huyo ni adui wa maendeleo...
lakini pia kama udikteta wake unabakia kwenye kupenda kuendelea kuwa raisi, hapo hata mie nakubaliana. kwani hata kama vipi, ina maana hata kwenye hiko chama chake hakuna mtu aliyemlea vizuri kiuchapa kazi kuweza kumrithi?