Home
Unlabelled
saa necha mzigoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa namzimia sana. Akija kwetu kimanzichana nitamtayarishia binti mzuri na anaweza kupafomu chini ya mwembe.
ReplyDeleteKimanzichana sio Juma pekee na mie nahitaji kama yule aliyevaa kanga zake vema pale kwako, unayemvizia-ga. Hasa yule yule kama umemshindwa.
ReplyDeleteKundi la huyu bwana walijitoa mhanga kumpigia debe mheshimiwa JK wakati wa kinyang'anyiro cha uraisi,kwahiyo njia pekee iliyobaki kuwalipia fadhila wasanii ni kuhakikisha suala la hati miliki linatafutiwa ufumbuzi kwa Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya.
ReplyDeleteumesema ukweli fikrathabiti! mark
ReplyDeleteBIG up boy, safi sana.nidhamu hakuna miongoni mwao hao wenye vipaji kama kina duduzuri,je wanaopigana na hawadhibitiwi na vyombo vinavyohusika na muziki, hata kufungiwa kabisa, na nyimbo zao kufungiwa kupigwa kwenye maredio/tv?kwani unapokuwa popular kama hawa wewe ni kioo cha jamii,uchunge nyendo zako na uwe mfano kwa vijana/watoto. jj-jamjuah
ReplyDeleteHamna mabadiliko yeyote ya maana ya kumsifia JK katika kubadirisha IGP, nionavyo mimi JK kabadirisha chupa ya rangi ya gongo halafu kaweka gongo ile ile kwenye chupa nyingine. Viongozi wote wa polisi walitakiwa kubadiriswa au kufukuzwa kazi kwa uzembe na ulaji wao wa ruswa! Pia inatakiwa iundwe tume ya kumchunguza Mahita kwa mali alizoiba wakati akiwa IGP.
ReplyDeleteRupia
bwana rupia nakubaliana na wewe asilimia zote!, hawa watu ni matapeli wa mchana. watanzania tuna tabia ya kurizika na vitu vidogodogo.yanaitajika mabadiliko ya kweli. jj
ReplyDeletetatizo lao awa watoto kuchukua wake za watu wakubwa ndio kita waponza kazi wanaiweza ila tunaofia uhai wao.
ReplyDelete