nani kasema ni jk pekee mwenye uwezo wa kujaza watu sehemu kama kirumba stediumu? haya, huyu hapa saa juma necha akiwa na wanaume jijini mwanza hivi karibuni. maswaaaali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa namzimia sana. Akija kwetu kimanzichana nitamtayarishia binti mzuri na anaweza kupafomu chini ya mwembe.

    ReplyDelete
  2. Kimanzichana sio Juma pekee na mie nahitaji kama yule aliyevaa kanga zake vema pale kwako, unayemvizia-ga. Hasa yule yule kama umemshindwa.

    ReplyDelete
  3. Kundi la huyu bwana walijitoa mhanga kumpigia debe mheshimiwa JK wakati wa kinyang'anyiro cha uraisi,kwahiyo njia pekee iliyobaki kuwalipia fadhila wasanii ni kuhakikisha suala la hati miliki linatafutiwa ufumbuzi kwa Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya.

    ReplyDelete
  4. umesema ukweli fikrathabiti! mark

    ReplyDelete
  5. BIG up boy, safi sana.nidhamu hakuna miongoni mwao hao wenye vipaji kama kina duduzuri,je wanaopigana na hawadhibitiwi na vyombo vinavyohusika na muziki, hata kufungiwa kabisa, na nyimbo zao kufungiwa kupigwa kwenye maredio/tv?kwani unapokuwa popular kama hawa wewe ni kioo cha jamii,uchunge nyendo zako na uwe mfano kwa vijana/watoto. jj-jamjuah

    ReplyDelete
  6. Hamna mabadiliko yeyote ya maana ya kumsifia JK katika kubadirisha IGP, nionavyo mimi JK kabadirisha chupa ya rangi ya gongo halafu kaweka gongo ile ile kwenye chupa nyingine. Viongozi wote wa polisi walitakiwa kubadiriswa au kufukuzwa kazi kwa uzembe na ulaji wao wa ruswa! Pia inatakiwa iundwe tume ya kumchunguza Mahita kwa mali alizoiba wakati akiwa IGP.
    Rupia

    ReplyDelete
  7. bwana rupia nakubaliana na wewe asilimia zote!, hawa watu ni matapeli wa mchana. watanzania tuna tabia ya kurizika na vitu vidogodogo.yanaitajika mabadiliko ya kweli. jj

    ReplyDelete
  8. tatizo lao awa watoto kuchukua wake za watu wakubwa ndio kita waponza kazi wanaiweza ila tunaofia uhai wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...