mzee akirejea homu. hiki ni kilima cha pale marangu mtoni, njia ya kyara...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. aisee hawa ndo wakifika kijijini toka town wanapokelwa kwa vifijo na nderemo huku alichokiletwa kikibaki kuwa UTATA wa kudumu.

    ReplyDelete
  2. Naunga mkono hoja ya hapo juu. Hii picha inaeleza mengi juu ya nafasi ya wanawake na wanaume katika jamii.

    ReplyDelete
  3. sawa na wewe tu, utakapotoka huko ughibuni utaleta utata wa kudumu pia, zaidi ya raba mtoni

    ReplyDelete
  4. huyu mzee anaonesha ni mlevi kupindukia na hapa anatoka kunywa Mbege.....sema jamani hilo kijani mmnaliona?mazingira boraa kabisa kwa mtanzania

    ReplyDelete
  5. mjombake ndesanjo huyu,anapenda mchelena na chapati huyo, yuko radhi kuuza kihamba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...