sintosahau hoteli ya kempinski kilimajaro ilipofunguliwa na aliekuwa rais bwm. unajua alipoingia kwenye lifti na ujumbe wake, ikiwa ni pamoja na jk, lifti ilikwama....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2006

    Ben alizidi uzito

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2006

    mimi nilidhani kuwa rais ni kuwa so busy kumbe inaelekea soi hivyo maana mpaka rais anapata muda wa kufanya ziara ya hoteli!au hii ilikuwa ni wakati akiwa likizo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2006

    Ila na sisi Watanzania tumezidi ujumbe wa raisi unakuwa na watu wengi mno.Sasa umati wote huo siku hiyo hawakufanya kazi yeyote ya uzalishaji zaidi ya kwenda kufungua hotel. Kwa mwendo huu tutaendelea kupiga hatua moja mbele mbili nyuma.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2006

    Tanzania bado tunasherehekea uhuru wa 1961!!!!!! Miradi midogo midogo kila mtu anataka awepo wakati wa ufunguzi. Hii kazi za kufungua hoteli na madaraja ni za mawaziri tu. Ila kwa kuwa investor anataka aanze na high profile na free publicity kwa nini asipate msaada wa waziri mkuu au raisi kama inawezekana. Africa haitajengwa na wanasiasa, we should know it by now....wao wapo dunia nyingine kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...