kwa mlio ughaibuni tu: ni wapi hapa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    k'nyama makumbusho area

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    millenium tower hiyo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    Kulikuwa na bustani za mchicha! teh teh ha ha ha

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2006

    hapa ni kabul afganistani itakuwa, si unaona vumbi ilo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2006

    Hapo opposite yake kuna BREAK POINT, sijui bado ipo inavuma vile vile. Tulikuwa tunapata ugali wa Mhogo na Nyama pori hapo. Siku hizi bado break point kuna nyama pori au imeshakufa maana Bar za bongo zinavuma zikiwa mpya tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2006

    Break Point bando inadunda usisahau Makange kuku, Brenda Fassie "sato" na kadhalika, sema sasa hivi mambo ya samaki sangara na sato kidogo Kimeo kwa kuwa wasafirishaji nasikia baadhi wanatumia dawa za maiti ili samaki hao wasioze mapema si unajua tena magari yale yanayosafirisha COOLING SYSTEM kidogo tabu tabu.. .Bongo hiyo!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2006

    Hapa ni karibu sana na home.

    Nilikuwa nakuja hapo kwenye internet kucheki e-mail na kuangalia mavituz nilipokuwa bongo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2006

    Jamani bongo mbona inabadilika hivi? Hata kijitonyama kuna magorofa ya kisasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...