nikiwa na wadau wa kibongo newala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. duh wamarekani wanasemaga Sura nzito mhhh kweli ulipotoka panachangia ulivyo duh

    ReplyDelete
  2. jamani mbona wamechoka utadhani wapo hapahapa bongo.

    ReplyDelete
  3. Duuh! Balozi Dola ana sura kama zinjathropus!!

    ReplyDelete
  4. Jarmie Dupri kumbe naye huwa anajumuika na wabongo NY?.Jamaa mwenye suti nyeusi kushoto siyo JD huyo?

    ReplyDelete
  5. Huyo ni repa maarufu ajulikanaye kama Balozi Dola!

    ReplyDelete
  6. Huyo jamaa wa mwisho kulia ndo nini kuvaa koti oversize, au kaazima? hebu msaidieni kujua size yake!

    ReplyDelete
  7. Michuzi naona umewavuta mabingwa wetu ktk Ubangaizaji. Mwaki mmwaki (Mwakilasa), Balozi dollar, Jah Mussa. Hujachacha Newala, angalia tu wasikufungie kanyaboya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...