Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh wamarekani wanasemaga Sura nzito mhhh kweli ulipotoka panachangia ulivyo duh
ReplyDeletejamani mbona wamechoka utadhani wapo hapahapa bongo.
ReplyDeleteDuuh! Balozi Dola ana sura kama zinjathropus!!
ReplyDeleteJarmie Dupri kumbe naye huwa anajumuika na wabongo NY?.Jamaa mwenye suti nyeusi kushoto siyo JD huyo?
ReplyDeleteHuyo ni repa maarufu ajulikanaye kama Balozi Dola!
ReplyDeleteHuyo jamaa wa mwisho kulia ndo nini kuvaa koti oversize, au kaazima? hebu msaidieni kujua size yake!
ReplyDeleteMichuzi naona umewavuta mabingwa wetu ktk Ubangaizaji. Mwaki mmwaki (Mwakilasa), Balozi dollar, Jah Mussa. Hujachacha Newala, angalia tu wasikufungie kanyaboya!
ReplyDelete