Home
Unlabelled
pan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HIZO DOZI ZA WAMIZINGA ZIMEKUSHINDA KAKA UMEAMUA URUDI USHABIKI WA NYUMBANI... HONGERA
ReplyDeleteMbona typo kwenye Dar es Salaam. Waeleze wenye nembo wahakiki kazi yao.
ReplyDeletewaambie jamaa zako kwamba mji unaitwa DAR ES SALAAM sio DAR ES SALAAN, LOH!!
ReplyDeleteushauri wa bure!, kama chama kubwa-liverpool-imekushinda, basi jiunge kwa watoto wa mjini/wauza mitumba wa ilala-ashanti united, wanashiriki ligi kuu hapa bongo na wanatesa vigogo ile mbaya, hata julio taratini jamhuri kihwelo anawajua.
ReplyDeleteMisupu kuwa muwazi tu na waambie wadau kwamba wewe ni YANGA DAMUUU.
ReplyDeleteMbona tunakufahamu tokea longtime tu.Acha kupitia mlango wa Pan African.