hili ndo chama ninaloshabikia bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HIZO DOZI ZA WAMIZINGA ZIMEKUSHINDA KAKA UMEAMUA URUDI USHABIKI WA NYUMBANI... HONGERA

    ReplyDelete
  2. Mbona typo kwenye Dar es Salaam. Waeleze wenye nembo wahakiki kazi yao.

    ReplyDelete
  3. waambie jamaa zako kwamba mji unaitwa DAR ES SALAAM sio DAR ES SALAAN, LOH!!

    ReplyDelete
  4. ushauri wa bure!, kama chama kubwa-liverpool-imekushinda, basi jiunge kwa watoto wa mjini/wauza mitumba wa ilala-ashanti united, wanashiriki ligi kuu hapa bongo na wanatesa vigogo ile mbaya, hata julio taratini jamhuri kihwelo anawajua.

    ReplyDelete
  5. Misupu kuwa muwazi tu na waambie wadau kwamba wewe ni YANGA DAMUUU.
    Mbona tunakufahamu tokea longtime tu.Acha kupitia mlango wa Pan African.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...