nikiwa na bingwa wa dunia wa mita 1500 filbert bayi enzi hizo huko mji kasoro bahari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka Poli

    Mjomba michu nakuamini, hii ni mwaka gani, kumbe umeanzia mbali???

    kazi nzuri

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Kama mwandishi wa habari ningependa utueleze Bayi alikuwa bingwa wa dunia wa mita 1500 mwaka gani? Na mashindano yapi ya dunia alishinda?
    Asante

    ReplyDelete
  3. Ulikuwa umepinda kipindi hicho michuzi...

    ReplyDelete
  4. WEWE ANONY HAPO JUU ACHA USHAMBA. MICHUZI KESHAKUWEKEA RANGI JUU JINA LA FILBERT BAYI ILI UBONYEZE UJUE. UNA KENGEZA NINI???

    ReplyDelete
  5. uh watu wanatoka mbali....hadi rahaaaa...keep it tight bro

    ReplyDelete
  6. Mzee Michuzi umetokea mbali si mchezo

    ReplyDelete
  7. Mjifunze kusoma na kuwa wadadisi, Filbert Bayi aliweka rekodi ya dunia kwenye mashindano ya Commonwealth.

    Hajawahi kuwa bingwa wa dunia kwani hakuwa kushiriki mashindano ya dunia. Nchi za Commonwealth ni sehemu ndogo tu ya washiriki wa mashindano ya riadha duniani.

    Sasa kwa mwenye kupinga huo ukweli naomba anioneshe data za kuunga mkono "sloppy comments" za ubingwa wa dunia.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2008

    this is a respond to you.... on the comment you made regarding the world record holder Mr. Filbert Bayi, you should also check your resources to support your information...."Born in Arusha, Tanzania, his greatest moment was arguably the 1500 m final at the 1974 Commonwealth Games in Christchurch, New Zealand, when he won the gold medal ahead of New Zealand runner John Walker and Kenyan Ben Jipcho. Bayi set a new world record of 3 min 32.16 s, ratified by the IAAF as 3:32.2, and Walker went under the old world record set by Jim Ryun as well." from other sources

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...