nala pozi na miss photo point photogenic 2006 hiyo siku ya siku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi, naiona vizuri hapa hiyo 'sigda' yako. inshallah.

    ReplyDelete
  2. Naombeni ufafanuzi plizzz, kuuliza si ujinga jamani.

    huyo binti mwingine ni nani yake wema hapo, sijaelewa vema.

    I hope si mrembo mwenzie. Sorry to say that.

    Maana mmhhh......., au boardgard

    ReplyDelete
  3. Anoni wa Tuesday, February 06, 2007 4:05:00 AM, huyo unayedhani ni body guard hujamwangalia vizuri. Kwa kweli kama kuna mrembo ana sindano ni huyu. Mie hoteli za watoto wake zimenivutia sana. Ana smile la Monalisa pia.

    ReplyDelete
  4. Halafu na wewe soup, nadhani hujatulia! Unapenda kweli issue! Watoto wa kike, tena wale wakali hasa, ndo wanaongoza blog yako kwa picha! Mhh....!

    ReplyDelete
  5. HIlo tege la huyo demu wa pembeni kama la MONALISA vile! Linavuta sana usikivu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...