Home
Unlabelled
pozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, naiona vizuri hapa hiyo 'sigda' yako. inshallah.
ReplyDeleteNaombeni ufafanuzi plizzz, kuuliza si ujinga jamani.
ReplyDeletehuyo binti mwingine ni nani yake wema hapo, sijaelewa vema.
I hope si mrembo mwenzie. Sorry to say that.
Maana mmhhh......., au boardgard
Anoni wa Tuesday, February 06, 2007 4:05:00 AM, huyo unayedhani ni body guard hujamwangalia vizuri. Kwa kweli kama kuna mrembo ana sindano ni huyu. Mie hoteli za watoto wake zimenivutia sana. Ana smile la Monalisa pia.
ReplyDeleteHalafu na wewe soup, nadhani hujatulia! Unapenda kweli issue! Watoto wa kike, tena wale wakali hasa, ndo wanaongoza blog yako kwa picha! Mhh....!
ReplyDeleteHIlo tege la huyo demu wa pembeni kama la MONALISA vile! Linavuta sana usikivu.
ReplyDelete