uwanja wa ccm kirumba ulitapika wakati wa shoo ya wanaume halisi wa tmk jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. napacheki golani pale kwa nyuma, siku huna kiingilio kwenda mpirani unapanda golani kucheck game, unaona vimtu vidogoo vidogoo

    ReplyDelete
  2. pale gola, watu walikuwa wanakaa na viradio wakimsikiliza hayati chilambo enzi tuipussant mazembe wana kawekamo wanafanya vitu, madata, yusuph selemani,abdallah bori,masatu, rashid abdallah"mbabe",masha,beya simba,ngassa halfan,fumo, juma amir na kitwana.
    anon juu unawakumbuka haoo, enzi hizo pamba ni pamba

    ReplyDelete
  3. michuzi kakosa picha ya wanatupwisa sijui ni mpiga picha gani hana hata picha yao, labda anapiga picha za timu za dar tu

    ReplyDelete
  4. Mshikaji hapo juu mbona unaniangusha bwana ... umechanganya Pamba kwa vipindi tofauti . umechanganya old Pamba na New Pamba.Old PAMBA walio pandisha daraja timu ni Juma Mhina. Edward Hiza, Ibrahim Magongo,khatibu (mzuzu),Khalifan Ngassa,Issa Meroi,Edward Mwakatika, Abdallah Bori, Rashidi ABDALLAH, Hamza Mponda, Beya Simba,............ wengine wamenitoka yeyote ajazie..........
    Alafu ikaju Pamba wa TUSAPU LINDANDA... Raphael Paul, kitwana selemani , Beya Simba, Mao MKAMI, Msonga Rashidi, Juma Ameri,George Masatu ,Hussen Masha,Fumo Felician, Mwa- father (john), David Mwakalebela,....wengine jazieni hiyo ilikuwa pamba tunatoka Lake unavaa mokasini wako makutano kirumba Pamba VS yanga wajanja wote tulikuwa tunakaa kushoto hiyo ni sehemu ya Pamba .. ulikuwa wakati mzuri sana wa maisha ya Africa it still in memory.
    Michuzi mie ninayo picha ya Wana lindanda ya enzi hizo nikutumie nini uibandike nipi jibu
    Mshikaji mmojaa.

    ReplyDelete
  5. hebu angalieni zile nyumba kule juu kama china vile

    ReplyDelete
  6. naomba muangalie kwa makini zile nyumba kule milimani ule ni ujenzi wa mautsetung

    ReplyDelete
  7. ule ujenzi wa zile nyumba umenikumbusha nilipotembelea china

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...