mojawapo ya mitaa ya minnesota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hello michu mimi naomba uniwekee picha ya uwanja wa nyamagana japo nikumbuke 1974 yanga ilivyopigwa bao2-1 narunyasi enzi za marehemu gipson sembeli na sunday manara.

    ReplyDelete
  2. Duuh hapa utafikiri ukerewe.

    ReplyDelete
  3. si mchezo huo mtaa ni jina la mji huko Germany.

    ReplyDelete
  4. James, Nyamagana 1974 Yanga 2 - Simba 1. Wafungaji: Simba, Saad Alli 'Mnyalukolo', kipindi cha kwanza. Yanga: Sembuli na Sunday kipindi cha pili, wakati baadhi ya watu wako getini wanatoka .........

    Sehemu aliyoangukia Saad Ally kulikuwa na kichuguu kwa muda mrefu sana. Sijui kama bado kipo.

    Wakakutana tena Z'bar Jan 1975, Yanga 2 - Simba 0. Ubingwa Afrika Mashariki.

    ReplyDelete
  5. Hii ni barabara ya Bugando. Ilibatizwa jina hilo la kijerumani kuenzi ushirikiano na chuo cha kimisionari cha Wuzburg baada ya serikali kuirudisha hospitali kwa Kanisa Katoliki. Nasikia hata Chuo Kikuu cha Afya cha Bugando kimebatizwa jina la sponsor wao mkuu. Jina limenitoka.

    ReplyDelete
  6. Jamani watanzania tuache ushamba, kwanini mtaa mzuri kama huo ukaitwa jina la kigeni, jina gumu ka nini , sidhani kama akina sie ambao hatuna darasa tunaweza kutamka jina hilo, na kuhusu kubadilishwa jina la Bugando kituo cha afya na kupewa jina la sponser wa kigeni jamani huo sio utanzania kabisaa.Tujirekebishe

    ReplyDelete
  7. wewe anon hapo juu fikiria kabla ya kuropoka, bchuo ni bugando university college of health sciences(buchs)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...