Home
Unlabelled
mtaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hello michu mimi naomba uniwekee picha ya uwanja wa nyamagana japo nikumbuke 1974 yanga ilivyopigwa bao2-1 narunyasi enzi za marehemu gipson sembeli na sunday manara.
ReplyDeleteDuuh hapa utafikiri ukerewe.
ReplyDeletesi mchezo huo mtaa ni jina la mji huko Germany.
ReplyDeleteJames, Nyamagana 1974 Yanga 2 - Simba 1. Wafungaji: Simba, Saad Alli 'Mnyalukolo', kipindi cha kwanza. Yanga: Sembuli na Sunday kipindi cha pili, wakati baadhi ya watu wako getini wanatoka .........
ReplyDeleteSehemu aliyoangukia Saad Ally kulikuwa na kichuguu kwa muda mrefu sana. Sijui kama bado kipo.
Wakakutana tena Z'bar Jan 1975, Yanga 2 - Simba 0. Ubingwa Afrika Mashariki.
Hii ni barabara ya Bugando. Ilibatizwa jina hilo la kijerumani kuenzi ushirikiano na chuo cha kimisionari cha Wuzburg baada ya serikali kuirudisha hospitali kwa Kanisa Katoliki. Nasikia hata Chuo Kikuu cha Afya cha Bugando kimebatizwa jina la sponsor wao mkuu. Jina limenitoka.
ReplyDeleteJamani watanzania tuache ushamba, kwanini mtaa mzuri kama huo ukaitwa jina la kigeni, jina gumu ka nini , sidhani kama akina sie ambao hatuna darasa tunaweza kutamka jina hilo, na kuhusu kubadilishwa jina la Bugando kituo cha afya na kupewa jina la sponser wa kigeni jamani huo sio utanzania kabisaa.Tujirekebishe
ReplyDeletewewe anon hapo juu fikiria kabla ya kuropoka, bchuo ni bugando university college of health sciences(buchs)
ReplyDelete