Home
Unlabelled
njia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hapo kipanya kweli umefikiria ila sasa wasiotumia umeme bei ya mafuta ya taa itapanda.
ReplyDeleteBaada ya kutangazwa ugonjwa wa lift valley kuku sasa nasikia 10,000.Na kuhusu saruji naona bei ya mbao itapanda watu wakitaka kujenga nyumba za mbao.
Kazi ipo jamani.
TANGAZO
ReplyDeleteblog zinaharibu macho ya wachangiaji
breaking news:
ReplyDeletebia aina ya ndovu, safari na vileo vingine vyote vinasababisha kansa ya koo, wakati soft drinks zote kama colacola, fanta na nyinginezo zinasababisha ugonjwa wa kupasuka ulimi na...
haha haaaaaaa kipanya unatisha....
Kwa hali ya maisha inavyokwenda hivi sasa, tutaogopa kugusa kila kitu. Maana tukifanikiwa kuokoa au kutibu kitu kimoja kingine kinazuka. Baada ya kutibu gonjwa la umeme, limeingia gonjwa la homa ya bonde la ufa sijui baada ya hili sijui litakuja balaa gani. Mungu ibariki Tanzania kweli
ReplyDeleteKuna mjinga mwingine juzi juzi kazusha kuwa eti ukila chakula cha moto na kunywa maji ya baridi mara baada ya mlo unaweza pata kansa. Sababu ni kwamba unayagandisha mafuta uliyokula kabla digestion haijaanza! Sasa ukila ugali na maharagwe yasiyoungwa inakuwaje?
ReplyDeleteNadhani hizi zushi tuwe makini sana. Vinginevyo, hata ngono inasababisha watu kuzeeka kwa haraka. Kama watu wakiacha ngono nadhani kutakuwa hakuna kizazi kipya!
kizazi kipya kitoke wapi? na maukimwi yaliyojilalia hapo bongo kuna kizazi kipya kweli???
ReplyDeleteMi nafikiri response hii ya RVF tungeiweka kwenye UKIMWI sasa hivi tungekuwa mbali sana kupambana na hili gonjwa, watu wangeogopa ngono kama wanavyoogopa kula nyama ya ng'ombe sasa tungeshusha maambukizi mapya kwa asilimia 95%. Ila wapi hapo bado wagumu kama mawe, Condom hazitumiki, watu bado si waaminifu kwenye ndoa. Ebu tuanze sasa tufanye kila mwanamke au mwanaume unaemuona ana (RVF) UKIMWI, na wewe hauna si utaokoa taifa.
ReplyDeleteIla huu ugonjwa wa RVF untaka kufanana na ule wa EBOLA uliozuka kule DRC miaka hiyo, watu walikuwa wanatokwa na damu sehemu zote zilizo wazi kabla ya kufa, Michuzi hebu fanya utafiti hapo kunatofauti au ni majina tu