
wadau wengi mtakuwa mmemsikia na kumuona bi kidude katika picha ila ni wachache wamemuona laivu. bofya hapa umuone na kumsikia kwa sauti yake mwenyewe...
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilitegemea uweke ukumbi kwa wapenzi wa FA Cup final -'wemberley' tujitape hasa man utd na chelsiki!
ReplyDeleteau ndo unasubiri kipigo cha AC Milan - umeshaanza majonzi kabla ya kufika ugiriki!
Bring on Morinho+Abramovich+Chelsiki... It's a Double for Man U today!!!
Acha kutisha watu Michuzi. Unataka watu waote ndoto mbaya nini? Manake sura hii sio mchezo, ukikutana nayo kwenye kiza lazima utoke nduki!
ReplyDeleteAcha ubwege wewe unayeongelea sura ya bi mkubwa. Inabidi uwe na adamu fool. Watu kama ninyi mnaocheka sura za wenzenu sura zenu ziko kama mavi ya zamani. Mpe heshima yake bi mkubwa.
ReplyDeleteWewe "Tarehe Sunday, May 20, 2007 12:15:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous"
ReplyDeleteHebu acha zako..yaani wewe huoni hiyo sura kama anapuliza moto wa kuni vilee? Sasa unataka tuseme kuwa ana sura nzuri wakati ana sura mbaya? acha ujinga wako hapa. Kama huna cha kuchangia nyamaza ila usitake kudandia maoni ya watu wengine. Toa maoni yako mie yangu nikuwa huyu Bi Kidude ana Sura mbaya kama nini.
mi nina mashaka sana kama haya maoni michuzi huyapitia kabla hajachapisha kwenye blog yake. kuna watoto wanatukana sana watu wazima humu. michuzi kama upo bize sana na daily news, basi fanya japo kidogo uangalie maoni gani ya kuchapisha unapoweka picha za wakubwa au watu maarufu. maoni mengine kama kina chifupa/medi watu wakitukana shauri yao lakini siyo ya watu wenye stara zao. POLISI
ReplyDeletehuyo bibi hapo juu anacheka, anatabasamu au analia? Mimi namuona kama kalamba ndimu.
ReplyDeleteWe POLISI acha kumtishia michuzi NYAU hebu tupe namba zako kwanza maana nahisi wewe ni mmoja wale wanaojifanya POLISI na kutapeli wanachi
ReplyDeleteAnon. wa Sunday, May 20, 2007 12:15:00 AM. Hivi huo ujinga ulioongea hapo juu unajiona kuwa ni maoni. Nani amekudanganya kuwa kumtukana bi mkubwa ni maoni? You still have a long way to go Mr./Mrs Maoni.
ReplyDeleteWewe "Tarehe Tuesday, May 22, 2007 7:13:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous" Rudi shule kwanza, au sijui una shule gani? "Maoni =Opinion" Kama mtu akiwa na mtazamo tofauti na wewe ndio imekuwa MATUSI siku hizi? Ingekuwa MATUSI, je Michuzi angeruhusu kubandika hapa? Unapoinga kwenye hii Blog unakutana na Ujumbe "Karibu katika hii blog, Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizo na matusi. Akhasante." Nilisema hapo juu sio matusi kwa taarifa yako, ni maoni yangu. Yaani wewe mtu akikwambia lile shati ni mbaya inakuwa umemtusi yule mtu?
ReplyDelete