wadau wengi mtakuwa mmemsikia na kumuona bi kidude katika picha ila ni wachache wamemuona laivu. bofya hapa umuone na kumsikia kwa sauti yake mwenyewe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2007

    Nilitegemea uweke ukumbi kwa wapenzi wa FA Cup final -'wemberley' tujitape hasa man utd na chelsiki!

    au ndo unasubiri kipigo cha AC Milan - umeshaanza majonzi kabla ya kufika ugiriki!

    Bring on Morinho+Abramovich+Chelsiki... It's a Double for Man U today!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2007

    Acha kutisha watu Michuzi. Unataka watu waote ndoto mbaya nini? Manake sura hii sio mchezo, ukikutana nayo kwenye kiza lazima utoke nduki!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2007

    Acha ubwege wewe unayeongelea sura ya bi mkubwa. Inabidi uwe na adamu fool. Watu kama ninyi mnaocheka sura za wenzenu sura zenu ziko kama mavi ya zamani. Mpe heshima yake bi mkubwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2007

    Wewe "Tarehe Sunday, May 20, 2007 12:15:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous"
    Hebu acha zako..yaani wewe huoni hiyo sura kama anapuliza moto wa kuni vilee? Sasa unataka tuseme kuwa ana sura nzuri wakati ana sura mbaya? acha ujinga wako hapa. Kama huna cha kuchangia nyamaza ila usitake kudandia maoni ya watu wengine. Toa maoni yako mie yangu nikuwa huyu Bi Kidude ana Sura mbaya kama nini.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2007

    mi nina mashaka sana kama haya maoni michuzi huyapitia kabla hajachapisha kwenye blog yake. kuna watoto wanatukana sana watu wazima humu. michuzi kama upo bize sana na daily news, basi fanya japo kidogo uangalie maoni gani ya kuchapisha unapoweka picha za wakubwa au watu maarufu. maoni mengine kama kina chifupa/medi watu wakitukana shauri yao lakini siyo ya watu wenye stara zao. POLISI

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2007

    huyo bibi hapo juu anacheka, anatabasamu au analia? Mimi namuona kama kalamba ndimu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    We POLISI acha kumtishia michuzi NYAU hebu tupe namba zako kwanza maana nahisi wewe ni mmoja wale wanaojifanya POLISI na kutapeli wanachi

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    Anon. wa Sunday, May 20, 2007 12:15:00 AM. Hivi huo ujinga ulioongea hapo juu unajiona kuwa ni maoni. Nani amekudanganya kuwa kumtukana bi mkubwa ni maoni? You still have a long way to go Mr./Mrs Maoni.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2007

    Wewe "Tarehe Tuesday, May 22, 2007 7:13:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous" Rudi shule kwanza, au sijui una shule gani? "Maoni =Opinion" Kama mtu akiwa na mtazamo tofauti na wewe ndio imekuwa MATUSI siku hizi? Ingekuwa MATUSI, je Michuzi angeruhusu kubandika hapa? Unapoinga kwenye hii Blog unakutana na Ujumbe "Karibu katika hii blog, Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizo na matusi. Akhasante." Nilisema hapo juu sio matusi kwa taarifa yako, ni maoni yangu. Yaani wewe mtu akikwambia lile shati ni mbaya inakuwa umemtusi yule mtu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...