
wadau, binti yetu flaviana matata ndiye mwafrika pekee aliyesalia kwenye kinyang'anyiro cha miss universe kinachoshirikisha zaidi ya walimbwende 150 toka kila pembe ya dunia, akiwa sasa katika 15 bora za lala unono... hima na tumpigie kura kwa kubofya hapa


Nime-vote kama maelekezo yanavyosema,nika-confirm..ikasema records zao zinaonyesha nimesha-vote.Nilipiga wakati ule wa top 20,hawa jamaa wayeyushaji...nafikiri wameshaona dalili za huyu dogo kushinda.
ReplyDeleteHaya tusaidiane jamani tufanyaje?
jamani hawa wazungu wanatubania, hata mimi nimevote nimeambiwa tayari nimevote,michuzi na wengine tusaidieni jinsi ya kusolve hii issue.
ReplyDeleteWazungu kwa kubana!!!!!!!!!!!!!
badili jina na email vote kwa kutumia komputa ingine nenda hata cafee kama vp vote mara nyingi kwa kadri utakavoweza! mkereketwa!
ReplyDeletehata miye hivohivo kama jamaa hapo juu.
ReplyDeleteMichu twambie tufanyeje kabla haijawa too late manake twataka zidi kumpigia kura huyu dogo lakini twashindwa!!!!!!!!!
ehe wajinga kweli
ReplyDeletehata mimi wamendambia rekodi zao zinaonyesha nimeshavote, ila mi nilivote jana kwenye http://147.208.132.198/onlineCDA/quiz/missuniverse2007/missuniverse07voting.shtml lakini siyo top 15 ila inakwambia umevote tayari tujaribishe hapa.
ngoja mi nikimbie nikavote kwa maza na kwa wakwe lol, lazima dogo ashinde labda waibe, Ila Mungu awawekee jicho wasiibe.
Inaelekea unavote ile ya nyuma tena ya top 20. Huwezi kuvote mara mbili na pia ile ya nyuma imesha pita. Follow the link wanayokutumia kwenye email halafu do not vote right away. Go to poll directory na choose top 15 roud three. Okay
ReplyDeleteSOLUTION: Aliyetoa hiyo Link ametumiwa kwenye mail yake aka vote sasa kila atakaetumia hiyo link ajue haitahesabiwa kweni mwenye right alishaafanya hivyo. Kama hujaomba kuvote kupitia kwenye mail yako ujue hutapata chance ya kuvote MICHU ALITOA LINK LAST WEEK WATU WAJIREGISTE KUVOTE THROUGH E-MAIL, UNATUMA E-MAIL KUREJISTA WAO WATAKUTUMIA VOTING INVITATION ACHANA NA LINK ZA WATU. JAMAA WAMEBADILI SYSTEM YA KUVOTE SABABU YA FRAUD ZA WATU KUVOTE MARA KUMI KUMI. MICHU ANAWEZA KUWAPA MAIL YAO MUWATUMIE ILI MUWEZE KUVOTE.
ReplyDeleteYeah, nadhani hiyo message inakuja kama ulipiga kura previously kwenye top 20. Nadhani inabidi ujiandikishe tena ukitaka kupiga kura kwenye top 15. Maana na mimi nimeipata hiyo message ila nimejiandikisha tena na majina na e-mails tofauti ili nipige kura more than once.
ReplyDeleteFlaviana is doing well, and I can't wait for Monday to watch the Pageant.
wadau mie nshakereka maana sijawahi vote wala komputa yangu haijatumiwa na mtu yeypte kuvote na stilll nimevote nikaambiwa nimeshavote before come on what does it mean yani hawa watu wanabania kiasi hiki duh!
ReplyDeleteNadhani inabidi ujisajili kwanza kwani watu wengine walianza kupiga kura kwa kurudiarudia tu ingawa wao Almanac waliweka mtu mmoja kura moja katika muda maalum (nadhani masaa 24).
ReplyDeleteHiyo link nadhani ni ya Michuzi - yeye keshapiga kura ndio maana linakuja kosa kwamba umeshapiga.
mi najaribu nashindwa please anaejua atuambie namtakia mafaniko mema Mungu amsaidie
ReplyDeleteWazungu wanabania wanaona anashinda mie sijawahi hata siku moja kwenda kwenye hiyo link ila inaniambia kuwa tayari nimepiga kura kama sio kiini macho nini hiki?
ReplyDeleteJamani acheni kulalamika. Email ikija hamna cha kujiandikisha tena wala nini. Just go to the poll directory na uchague unavote ipi. Kama ulishavote round three mara moja basi kwa kila email. Na pia one Ip address only kwa kila vote. Hata kama una email tatu na unatumia computer hiyo hiyo hautaweza kuvote.
ReplyDeleteGo to poll directory and choose round three inaisha the 23rd
haya, kwa we unaesema email ikija once ndio u can vote for each stage sio kweli. Mimi I got the invitation to vote for top 20, I did. Sasa hivi siwezi kutumia the same one kwa sababu now they ask you for a code, I guess you are supposed to get it in the email, so yep you have to get authorization to vote everytime!!!
ReplyDeleteMimi nimetumia the same email na nimevote all the time na vote yangu imekua cast. Round 2 nimevote na round 3 nimevote. Ila round three nilivyoenda kuvote kufuata link niliona inasema nimeshavote nikaenda kwenye poll directory nika choose round three then nika vote mara nikaletewa email thanks for kuwa vote yangu imekuacounted.
ReplyDeleteSo hayo mambo ya kufungua email nyingine wala sielewi. labda kila reagion ina sheria zake.
It is just an almanac peagant fans by the way