wadau, binti yetu flaviana matata ndiye mwafrika pekee aliyesalia kwenye kinyang'anyiro cha miss universe kinachoshirikisha zaidi ya walimbwende 150 toka kila pembe ya dunia, akiwa sasa katika 15 bora za lala unono... hima na tumpigie kura kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    Nime-vote kama maelekezo yanavyosema,nika-confirm..ikasema records zao zinaonyesha nimesha-vote.Nilipiga wakati ule wa top 20,hawa jamaa wayeyushaji...nafikiri wameshaona dalili za huyu dogo kushinda.
    Haya tusaidiane jamani tufanyaje?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    jamani hawa wazungu wanatubania, hata mimi nimevote nimeambiwa tayari nimevote,michuzi na wengine tusaidieni jinsi ya kusolve hii issue.
    Wazungu kwa kubana!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2007

    badili jina na email vote kwa kutumia komputa ingine nenda hata cafee kama vp vote mara nyingi kwa kadri utakavoweza! mkereketwa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2007

    hata miye hivohivo kama jamaa hapo juu.
    Michu twambie tufanyeje kabla haijawa too late manake twataka zidi kumpigia kura huyu dogo lakini twashindwa!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2007

    ehe wajinga kweli

    hata mimi wamendambia rekodi zao zinaonyesha nimeshavote, ila mi nilivote jana kwenye http://147.208.132.198/onlineCDA/quiz/missuniverse2007/missuniverse07voting.shtml lakini siyo top 15 ila inakwambia umevote tayari tujaribishe hapa.

    ngoja mi nikimbie nikavote kwa maza na kwa wakwe lol, lazima dogo ashinde labda waibe, Ila Mungu awawekee jicho wasiibe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2007

    Inaelekea unavote ile ya nyuma tena ya top 20. Huwezi kuvote mara mbili na pia ile ya nyuma imesha pita. Follow the link wanayokutumia kwenye email halafu do not vote right away. Go to poll directory na choose top 15 roud three. Okay

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2007

    SOLUTION: Aliyetoa hiyo Link ametumiwa kwenye mail yake aka vote sasa kila atakaetumia hiyo link ajue haitahesabiwa kweni mwenye right alishaafanya hivyo. Kama hujaomba kuvote kupitia kwenye mail yako ujue hutapata chance ya kuvote MICHU ALITOA LINK LAST WEEK WATU WAJIREGISTE KUVOTE THROUGH E-MAIL, UNATUMA E-MAIL KUREJISTA WAO WATAKUTUMIA VOTING INVITATION ACHANA NA LINK ZA WATU. JAMAA WAMEBADILI SYSTEM YA KUVOTE SABABU YA FRAUD ZA WATU KUVOTE MARA KUMI KUMI. MICHU ANAWEZA KUWAPA MAIL YAO MUWATUMIE ILI MUWEZE KUVOTE.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2007

    Yeah, nadhani hiyo message inakuja kama ulipiga kura previously kwenye top 20. Nadhani inabidi ujiandikishe tena ukitaka kupiga kura kwenye top 15. Maana na mimi nimeipata hiyo message ila nimejiandikisha tena na majina na e-mails tofauti ili nipige kura more than once.

    Flaviana is doing well, and I can't wait for Monday to watch the Pageant.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2007

    wadau mie nshakereka maana sijawahi vote wala komputa yangu haijatumiwa na mtu yeypte kuvote na stilll nimevote nikaambiwa nimeshavote before come on what does it mean yani hawa watu wanabania kiasi hiki duh!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2007

    Nadhani inabidi ujisajili kwanza kwani watu wengine walianza kupiga kura kwa kurudiarudia tu ingawa wao Almanac waliweka mtu mmoja kura moja katika muda maalum (nadhani masaa 24).

    Hiyo link nadhani ni ya Michuzi - yeye keshapiga kura ndio maana linakuja kosa kwamba umeshapiga.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2007

    mi najaribu nashindwa please anaejua atuambie namtakia mafaniko mema Mungu amsaidie

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2007

    Wazungu wanabania wanaona anashinda mie sijawahi hata siku moja kwenda kwenye hiyo link ila inaniambia kuwa tayari nimepiga kura kama sio kiini macho nini hiki?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2007

    Jamani acheni kulalamika. Email ikija hamna cha kujiandikisha tena wala nini. Just go to the poll directory na uchague unavote ipi. Kama ulishavote round three mara moja basi kwa kila email. Na pia one Ip address only kwa kila vote. Hata kama una email tatu na unatumia computer hiyo hiyo hautaweza kuvote.
    Go to poll directory and choose round three inaisha the 23rd

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2007

    haya, kwa we unaesema email ikija once ndio u can vote for each stage sio kweli. Mimi I got the invitation to vote for top 20, I did. Sasa hivi siwezi kutumia the same one kwa sababu now they ask you for a code, I guess you are supposed to get it in the email, so yep you have to get authorization to vote everytime!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2007

    Mimi nimetumia the same email na nimevote all the time na vote yangu imekua cast. Round 2 nimevote na round 3 nimevote. Ila round three nilivyoenda kuvote kufuata link niliona inasema nimeshavote nikaenda kwenye poll directory nika choose round three then nika vote mara nikaletewa email thanks for kuwa vote yangu imekuacounted.

    So hayo mambo ya kufungua email nyingine wala sielewi. labda kila reagion ina sheria zake.

    It is just an almanac peagant fans by the way

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...