Home
Unlabelled
ngwasuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Michuzi! Hivyo viatu akukupiga teke la ugoko si ugoko wote unatoboka! Khaa! Kama "Mpiga Filimbi wa Hamelin!"
ReplyDeleteUlisomaga zile hadidhi za Mpiga Filimbi wa Hamelini? Au ulikuwa au ulikuwa hujazaliwa enzi zile?
Michuzi eeeeeh! ze mkorogo na ile kitu ingine ze leboz halafu hiyo kiatu salaaaaaaaaaaaaaale.
ReplyDeletekiatu hicho jamani eeee duh kaazi kwelikweli utafikiri, yani hiyo style akijikwaa kidogo tu hana vidole maa ndani vyote vimebanwa kwenye hicho kimtututu na alivyojichubua!
ReplyDeleteduh kweli kama mpiga filimbi wa hamelin, iliyendika hiyo umenikumbusha mbali sana!nilikuwa sisomi ila naangalia picha za kile kitabu tu.
Ni kweli jamaa anaweza kushinda na Pied Piper wa Hamlin na hivyo viatu.
ReplyDeleteAache kujikrimu usoni jamani. DUH!
HAYA MAMBO HAYO, WAKURUGENZI WAPENDWA WAO NA WAFAZILI WATAKUWA NA FURAHA NA MAJIVUNO KWA BENDI YAO NZURI, KINA SAID MWINYI, BENI MULOKOZI, CHALES MUTAWALI, SAMUELI MABIBA NA KAZALIKA.
ReplyDeleteHII BENDI BWANA NI YA KUJIVUNIA BONGO,
TWANGA PEPETA NYUMA, DA-ASHA BARAKA ANA KAZI KUBWA HAPA.
Inatisha!!! Scary!!! kumbe bado madawa haya ya kuchubua ngozi yanapatikana Bongo!!?? Ama jamaa alinunuaga container zima akalificha hivyo bado ana stock kubwa tu. Aangalie maana naona yu karibu na saratani ya ngozi!!! (=-=aDk=-=)
ReplyDeleteSir Issa..Habari za leo Maalim.."ANAUNDUGU WOWOTE NA KOFFI OLOMIDE" KAMA SIO RANGI YAKE BASI AENDE KUMWONA DAKTARI HARAKA..
ReplyDeletemsiwape ujiko wa bure kila mara teh teh teh kuwasifia hao mnaowaita wakurugenzi ati ndio wafazili wa ngwasuma, vipi nyie? wanachofanya ni kusaidia vipesa kidogo tu, ngwasuma bendi imeanzishwa na wenyewe wanangwasuma na kama wafazili wako wengi amabo wala hawatambi. kwanza huyo beni mlokozi ana ngoma na kujisifia bure, samueli mabiba mali si zake anazosifiwa kumiliki visima vya mafuta ni vya babake. huyo chale mtawali ndio kabisa sijui tuanzie wapi. acheni ukora hapa. kutumia bulogu ya michuzi kuwafagilia watu na kuwafanya femasi.
ReplyDelete