kiongozi wa fm academia 'wazee wa bling bling' nyoshi el sadat alikuwa na kila sababu ya kufurahia pale bendi yake ilipotwaa tuzo ya wimbo bora wa mwaka ('dunia kigeugeu') kwani hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa kundi lenye wasanii wa kutoka kongo ya kabila kutunukiwa tuzo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    Duh! Michuzi! Hivyo viatu akukupiga teke la ugoko si ugoko wote unatoboka! Khaa! Kama "Mpiga Filimbi wa Hamelin!"
    Ulisomaga zile hadidhi za Mpiga Filimbi wa Hamelini? Au ulikuwa au ulikuwa hujazaliwa enzi zile?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Michuzi eeeeeh! ze mkorogo na ile kitu ingine ze leboz halafu hiyo kiatu salaaaaaaaaaaaaaale.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2007

    kiatu hicho jamani eeee duh kaazi kwelikweli utafikiri, yani hiyo style akijikwaa kidogo tu hana vidole maa ndani vyote vimebanwa kwenye hicho kimtututu na alivyojichubua!
    duh kweli kama mpiga filimbi wa hamelin, iliyendika hiyo umenikumbusha mbali sana!nilikuwa sisomi ila naangalia picha za kile kitabu tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2007

    Ni kweli jamaa anaweza kushinda na Pied Piper wa Hamlin na hivyo viatu.

    Aache kujikrimu usoni jamani. DUH!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2007

    HAYA MAMBO HAYO, WAKURUGENZI WAPENDWA WAO NA WAFAZILI WATAKUWA NA FURAHA NA MAJIVUNO KWA BENDI YAO NZURI, KINA SAID MWINYI, BENI MULOKOZI, CHALES MUTAWALI, SAMUELI MABIBA NA KAZALIKA.
    HII BENDI BWANA NI YA KUJIVUNIA BONGO,
    TWANGA PEPETA NYUMA, DA-ASHA BARAKA ANA KAZI KUBWA HAPA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2007

    Inatisha!!! Scary!!! kumbe bado madawa haya ya kuchubua ngozi yanapatikana Bongo!!?? Ama jamaa alinunuaga container zima akalificha hivyo bado ana stock kubwa tu. Aangalie maana naona yu karibu na saratani ya ngozi!!! (=-=aDk=-=)

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2007

    Sir Issa..Habari za leo Maalim.."ANAUNDUGU WOWOTE NA KOFFI OLOMIDE" KAMA SIO RANGI YAKE BASI AENDE KUMWONA DAKTARI HARAKA..

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    msiwape ujiko wa bure kila mara teh teh teh kuwasifia hao mnaowaita wakurugenzi ati ndio wafazili wa ngwasuma, vipi nyie? wanachofanya ni kusaidia vipesa kidogo tu, ngwasuma bendi imeanzishwa na wenyewe wanangwasuma na kama wafazili wako wengi amabo wala hawatambi. kwanza huyo beni mlokozi ana ngoma na kujisifia bure, samueli mabiba mali si zake anazosifiwa kumiliki visima vya mafuta ni vya babake. huyo chale mtawali ndio kabisa sijui tuanzie wapi. acheni ukora hapa. kutumia bulogu ya michuzi kuwafagilia watu na kuwafanya femasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...