tra na benki ya nmb ni baadhi ya taasisi zilizoanza kuonesha mfano kwa kujenga na kufungua ofisi sehemu za uswazi. hapa ni mwenge na jengo ni la mapato kanda ya kinondoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    THE SILENT STALKER says.....Michuzi tangia lini MWENGE imekua uswazi????? Mwenge nowadays ni TOWN kaka?? TunaCLUB kubwa inayochangaya kuliko kote DAR Corner Baa, ITV, Nice Stand, NECTA, NEW WORLD CINEMA, TUT, University of Social Studies etc... Rekebisha kauli

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Natumaini wafanyakazi wa benki mbalimbali bongo wamejirekebisha sababu customer service wengi wao hawajui na isitoshe majidai ya ajabu ajabu na ya kishamba kisa ni benki wanafanya kazi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2007

    SILENT STALKER NAONA SIKU HIZI UMEZIBWA MDOMO AIDHA NA MICHUZI AU HAO JAMAA WA WTM UTILITY.
    NIMEPITIA MARA KIBAO BLOG HII YA MICHUZI NA KUJARIBU KUMUOMBA ATULETEE UPANDE WA PILI WA COIN JUU YA SUALA LA WTM UTILITY TENA KUTOKA TBS, TRA NA MIUNDO MBINU LAKINI HAKUNA ALILOTUSAIDIA.
    ZAIDI ANAPITA NJE YA OFISI YA TBS, TRA, ANAONANA NA JK IKULU LAKINI ANAKUA BUBU HUKU WANYONGE TUKIWA TUMEACHA HEWANI JUU YA UTAPELI HUU.
    KITU GANI KINACHOMFANYA AJISAHAU NA KUJIDAI ANAYALIA DIPU MAHANDAKI, TWANGA PEPETA MADA YA WTM ALIYOANZISHA IKIISHIA HEWANI.
    HAYA BWANA JILIENI VYENU KWANI NDO KAWAIDA YA WABONGO WENGI. UKIZIMWA DOMO...AHAAAAA KIMYA KAMA MAJI YA MTUNGI. MOHD ABDULLAH MOHD

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...